Mwalimu na somo la madini
Mwalimu alikuwa darasani akiwafundisha wanafunzi wake somo la jiografia, akamsimamisha mwanafunzi mmoja na kumuuliza swali:
Mwalimu: Taja madini matano yanayopatikana Tanzania.
Mwanafunzi:
- Maislam,
- Makristo,
- Malokole,
- Masabato na
- Mapagani.
Vichekesho na Chemsha bongo zaidi...
Tukio lililoweza kusababisha ugomvi!
Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?
Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?
Vituko vya wanafunzi mashuleni!
Mwanafunzi huyu anachekesha kwa vituko vyake!
Dogo janja atibua mipango ya michepuko!
Binti amjaza hasira mama yake!
Nani atagundua hiyo rangi moja?
Chambo ya nini kwa samaki aliyevuliwa?
Kati ya mke na mume nani muongo zaidi?
No comments:
Post a Comment