We Like Sharing

Monday, November 30, 2015

Simu za screen touch zinavyosumbua watu

Simu za screen touch zinavyosumbua watu

Simu za screen touch zinavyosumbua watu!

Hizi simu za Screen Touch zinavyosumbua watu ni shida. Soma maneno yalivyokosewa kwenye SMS walipokuwa wanachati wapendanao:

Mdada: Baby mambwo?
Jamaa: Poa, niambie...
Mdada: Vipo umelals?
Jamaa: Unasemaje?
Mdada: Naulizw umelslq?
Jamaa: Mmmmhhh! Sijalala baby, hata usingizi sina!
Mdada: Momi mwenyew sikalals kuma mijito inapiga kelelr hapa kwety nje hadi inabowa
Jamaa: Nini?
Mdada: Kuna kelelw nje ya numba yetu sipsti usinguzi
Jamaa: Ha ha haaaa. Pole baby!
Mdada: Bsby mbona wanicheks tema?
Jamaa: Jitahidi kuwa makini unapoandika, unakosea spellings
Mdada: Unajua hii simu yangi ni mpys alafu skrini tachi, na bagati mbaya kuma herufi nyinginw zina kihelehrle hats nisipozinofya zinaingis.
Jamaa: Ha ha haaaa teh teh teh, pole baby, usiku mwema!

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment