We Like Sharing

Monday, November 30, 2015

Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?

Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?

Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?

Jamaa alipita katika kambi ya jeshi kimakosa, akapewa adhabu ya kuhamisha matofali 1000! Jamaa akabeba matofali 900 akawa hoi. Ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni rafiki yake wamesoma wote, akampigia simu na mazungumzo yakaanza namna hii:

Jamaa: Mkuu,vijana wako wamenipa adhabu ya kuhamisha matofali 1000!
Mkuu: Hao wajinga sana hawajui tunavyofahamiana? Wasikusumbue, mi ndo mkuu wao. Zirudishe palepale zilipokuwa mwanzo halafu uje ofisini tuonane.

Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment