We Like Sharing

Monday, November 30, 2015

Nani atagundua hiyo rangi moja?

Nani atagundua hiyo rangi moja?

Nani atagundua hiyo rangi moja?

Mwanaume aliamua kumchukulia zawadi mke wake. Alipofika nyumbani, alimkabidhi mkewe kikapu cha zawadi. Baada ya mkewe kuziangalia zawadi alizomletea, aligundua kuwa zote zilikuwa nguo za ndani.

Bahati mbaya nguo hizo zilifanana rangi, kwa hiyo aliamua kuvunja ukimya kama ifuatavyo:

Mke: Mume wangu!
Mume: Naam mke wangu...
Mke: Asante sana kwa zawadi ya nguo za ndani ulizoniletea, lakini zinafanana rangi, nahisi watu watagundua kwamba sibadili nguo za ndani!
Mume: Watu gani?

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment