We Like Sharing

Thursday, November 17, 2016

Rais John Pombe Magufuli asaini sheria ya huduma za habari 2016

Rais John Pombe Magufuli asaini sheria ya huduma za habari 2016

Rais John Pombe Magufuli asaini sheria ya huduma za habari 2016

Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesaini sheria ya huduma za habari habari iliyopitishwa na Bunge katika mkutano wake wa tano (5).

Taarifa hii ilitolewa jana tarehe 16 November na mkurugenzi wa mawasiliano, ikulu, Bw. Gerson Msigwa. Katika taarifa hiyo, Bw. Msigwa alisema kuwa Rais John Pombe aliwapongeza sana wadau wote waliofanikisha kutungwa kwa sheria hiyo.

Rais Magufuli amesema sheria hiyo itasaidia kuboresha sekta ya habari kwa wadau wa habari pamoja na taifa kwa ujumla. "Naamini kuwa Sheria hii itasaidia kuboresha sekta ya habari kwa manufaa ya wanataaluma wenyewe na Taifa". Alisema Rais Magufuli.

Screenshot ikionyesha taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu, Bw. Gerson Msigwa.

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment