Simba yaifunga Jang'ombe Boys 2-0 Kombe la Mapinduzi
Timu zote ziliingia uwanjani zikiwania nafasi ya kufuzu kuingia nusu fainali, ambapo wekundu wa msimbazi walikuwa wanahitaji eidha suluhu au ushindi katika mechi hiyo ili watinge nusu fainali, lakini bahati nzuri wamefanikiwa kupata mabao 2-0 na kupata jumla ya pointi 10.
Mabao yote Yametiwa nyavuni na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burundi, Laudit Mavugo. Bao la kwanza alifunga dakika ya 11 katika kipindi cha kwanza, kwa kuupiga mpira uliokuwa umerudi baada ya kugonga nguzo za goli, kutokana na... Soma zaidi»
Jan 8, 2017
Soka
Habari nyingine
URA yashindwa kutamba mbele ya Simba SC, Mapinduzi Cup
Azam FC yalazimishwa sare na Jamhuri FC ya Pemba
Timu zinazoshiriki Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2017
Yanga yaichapa 2-0 Zimamoto FC
Simba SC yazidi kusonga mbele kwenye michuano ya Mapinduzi Cup
No comments:
Post a Comment