We Like Sharing

Monday, November 30, 2015

Vichekesho

Vichekesho

Vichekesho!

Asante kwa kutembelea ukurasa wetu wa vichekesho! Vunja mbavu urefushe maisha kwa kupitia machapisho yetu ya vichekesho vilivyokwenda shule.

Tukio lililoweza kusababisha ugomvi!
Kuna DADA alienda Salon kusuka. Wakati anasukwa akaingia MKAKA mtanashati, DADA akaamua kujaribu bahati yake: Mdada: Mambo?...

Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?
Uko safarini kuelekea ukweni kupeleka mahari. Wakati unashuka kwenye gari ghafla unakwapuliwa mzigo wenye pesa na vitu vya...

Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?
Jamaa alipita katika kambi ya jeshi kimakosa, akapewa adhabu ya kuhamisha matofali 1000! Jamaa akabeba matofali 900 akawa hoi. Ghafla akakumbuka kuwa...

Vituko vya wanafunzi mashuleni!
Mwalimu aliingia darasani na mazungumzo kati yake na wanafunzi wake yalikuwa kama ifuatavyo:
Mwalimu: Atakayefanikiwa kujibu vizuri swali nitam...

Mwanafunzi huyu anachekesha kwa vituko vyake!
Mwalimu wa somo la kiingereza aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi wamtajie mnyama mwenye jina linaloanzia E. Wanafunzi wote wakanyoosha mik...

Dogo janja atibua mipango ya michepuko!
Mtoto mdogo wa kiume alikuwa anatatizwa na jambo flani flani, hivyo akaamua kuzungumza na mama yake kama ifuatavyo:...

Binti amjaza hasira mama yake!
Mtoto mdogo wa kike aliingia kwa kasi ya ajabu chumbani kwa mama yake akitokea ukumbini. Mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:...

Nani atagundua hiyo rangi moja?
Mwanaume aliamua kumchukulia zawadi mke wake. Alipofika nyumbani, alimkabidhi mkewe kikapu cha zawadi. Baada ya mkewe kuziangalia zawadi alizomletea, aligundu...

Chambo ya nini kwa samaki aliyevuliwa?
Mwanaume na mwanamke walikuwa wanapendana sana kabla ya ndoa. Mara kwa mara mwanaume alikuwa anampa zawadi za kila aina mpenzi wake, kitu kilichopelekea mwanamke ajione wa...

Kati ya mke na mume nani muongo zaidi?
Jamaa aliyebobea kwa uchepukaji alikuwa anachepuka Hotelini. Mara akaamua kumpigia simu mke wake akamdanganya kwamba yupo kituo cha polisi ame...

Huyu jamaa ana akili au matope?
Mtoto alitoka ndani kwa kasi ya ajabu kuelekea kwa baba yake mzazi aliyekuwa ametulia nje ya nyumba yake akipunga upepo. Baada ya mtoto kufika mahali alipokuwa ameketi baba yake mazu...

Simu za screen touch zinavyosumbua watu!
Hizi simu za Screen Touch zinavyosumbua watu ni shida. Soma maneno yalivyokosewa kwenye SMS walipokuwa wanachati wapendanao:
Mdada: Baby mambwo?...

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment