Kati ya mke na mume nani muongo zaidi?
Jamaa aliyebobea kwa uchepukaji alikuwa anachepuka Hotelini. Mara akaamua kumpigia simu mke wake akamdanganya kwamba yupo kituo cha polisi amekamatwa.
Wakati huo mkewe naye alikuwa anaelekea Gesti na jamaa mwingine, ila kwenye simu alidanganya kuwa yupo na dada yake wanaelekea kanisani. Soma mazungumzo yao ya kwenye simu hapo chini:
Jamaa:
Hallo mke wangu, nimeshikiliwa na polisi nipo kituoni muda huu.
!
Mke:
Pole mume wangu, na mimi naelekea kanisani na dada...
Nani muongo zaidi hapo?
Vichekesho na Chemsha bongo zaidi...
Tukio lililoweza kusababisha ugomvi!
Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?
Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?
Vituko vya wanafunzi mashuleni!
Mwanafunzi huyu anachekesha kwa vituko vyake!
Dogo janja atibua mipango ya michepuko!
Binti amjaza hasira mama yake!
Nani atagundua hiyo rangi moja?
Chambo ya nini kwa samaki aliyevuliwa?
Kati ya mke na mume nani muongo zaidi?
No comments:
Post a Comment