We Like Sharing

Monday, November 30, 2015

Dogo janja atibua mipango ya michepuko

Dogo janja atibua mipango ya michepuko

Dogo janja atibua mipango ya michepuko!

Mtoto mdogo wa kiume alikuwa anatatizwa na jambo flani flani, hivyo akaamua kuzungumza na mama yake kama ifuatavyo:

Dogo: Mama! Hivi malaika, si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa... Kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: Nilimsikia baba jana anamuita dada (Housegirl) Malaika wangu, kwa hiyo naye ana uwezo wa kupaa!
Mama: Nini? Ndiyo! Anaweza kupaa... Na kesho atapaa kuelekea kijijini kwao, pumbavu zake.

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment