We Like Sharing

Monday, November 30, 2015

Huyu jamaa ana akili au matope?

Huyu jamaa ana akili au matope?

Huyu jamaa ana akili au matope?

Mtoto alitoka ndani kwa kasi ya ajabu kuelekea kwa baba yake mzazi aliyekuwa ametulia nje ya nyumba yake akipunga upepo. Baada ya mtoto kufika mahali alipokuwa ameketi baba yake mazungumzo yalianza kama ifuatavyo:

Mtoto: Baba.... Nimemkuta mama na anko nanii...! Eti mama anamuita anko Beibi na anko anamuita mama Swiiti...!
Baba: Yatakuwa majina yao ya ubatizo, ukoo wao kwa majina siwawezi...

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment