We Like Sharing

Sunday, November 20, 2016

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRA

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRA

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRA

Dar Es Salaam, Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Novemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Bernard Mchomvu.

Pamoja na utenguzi huo, Mheshimiwa Rais pia amevunja bodi nzima ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuanzia leo tarehe 20 Novemba, 2016.

Uteuzi wa Mwenyekiti mwingine wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRA na Bodi ya Mamlaka hiyo utatangazwa baadaye.

Picha ya waraka wenye taarifa ya utenguzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Bernard Mchomvu

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment