Kuhusu sisi
Asante sana kwa kutembelea blog yetu hii ya Nzegamedia. Nzegamedia ni blog mpya iliyoanzishwa na kijana wa Nzega kwa ajili ya kuuhabarisha ulimwengu kuhusu matukio na maswala mengine yanayotokea Nzega/Tabora pamoja na sehemu nyingine za Dunia.
Blog hii ni mpya na bado tunaendelea kuiboresha kwa hiyo tutakuletea taarifa kamili juu ya shughuli tunazozifanya
Asanteni sana.
No comments:
Post a Comment