We Like Sharing

Monday, November 30, 2015

Binti amjaza hasira mama yake

Binti amjaza hasira mama yake

Binti amjaza hasira mama yake!

Mtoto mdogo wa kike aliingia kwa kasi ya ajabu chumbani kwa mama yake akitokea ukumbini. Mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:

Mtoto: Mama!
Mama: Naam cute wangu...
Mtoto: Mwalimu alitufundisha HONEY kwa kiswahili ni ASALI!
Mama: Oooooh! Ni sahihi kabisa mwanangu
Mtoto: Nimemkuta ukumbini baba anamuita dada (housegirl) HONEY... hilo ni jina lake pia?!
Mama: Ndiyo, ana majina mengi! Ngoja niwafuate kanifika hapa panzi huyu namrudisha kijijini kwao!
Mtoto: Na Panzi jina lake pia?!
Mama: Mfyuuuuu!

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment