We Like Sharing

Tuesday, December 1, 2015

Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?

Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?

Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?

Uko safarini kuelekea ukweni kupeleka mahari. Wakati unashuka kwenye gari ghafla unakwapuliwa mzigo wenye pesa na vitu vya msingi.

Unajaribu kumkimbiza mwizi wako lakini anakuacha unaamua kwenda ukweni mikono mitupu baada ya kufika ukamsimulia mama mkwe wako yaliyokukuta. Mama mkwe anakwambia "ngoja nikamwite baba mkwe wako amelala".

Wakati anakuja yule baamkwe wako heee! Unamwona ndiye yule kibaka aliyekukwapua pesa zako na vitu vingine.

Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment