We Like Sharing

Tuesday, December 1, 2015

Tukio lililoweza kusababisha ugomvi

Tukio lililoweza kusababisha ugomvi

Tukio lililoweza kusababisha ugomvi!

Kuna DADA alienda Salon kusuka. Wakati anasukwa akaingia MKAKA mtanashati, DADA akaamua kujaribu bahati yake:

Mdada: Mambo?
Mkaka: Poa...
Mdada: Mimi na wewe tunaweza kuongea baade?
Mkaka: Kuhusu nini?
Mdada: Nimekupenda nataka nikutoe out.
Mkaka: Sawa ila nitamwambia nini MKE wangu?
Mdada: Aah ilo sio tatizo mdanganye tu,mwambie unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalini.
Mkaka: Mwambie mwenyewe huyo hapo anayekusuka.

Unajua kipi kilifuata! Zilirushwa za Cheka na Matumla!!!

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment