We Like Sharing

Monday, January 23, 2017

Mume aota akimpigia kura Magufuli - kichekesho

Mume aota akimpigia kura Magufuli - kichekesho

Mume aota akimpigia kura Magufuli

Mume na mke walikuwa wamelala usiku, ghafla mume akaanza kupiga kelele akiwa usingizini. Asubuhi mkewe akamuuliza:

Mke: Mume wangu!
Mume: Naam mke wangu!
Mke: Mbona ulikuwa unapiga kelele sana usiku, au ulikuwa unaota unakimbizwa?
Mume: Yaani bora ningeota nakimbizwa hata na simba mke wangu. Niliota nampigia tena kura magufuli.

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment