Breaking news
Jana katika msitu wa wanyama pori wa Mikumi uliopo mkoani Morogoro ilitangazwa kuwa kuna nyoka hatari sana ambaye hajawahi kutokea popote duniani.
Mashuhuda wanadai kuwa nyoka huyo anaongezeka urefu kwa 0.5cm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.
Mpaka sasa hakuna silaha ya kuweza kumuua nyoka huyo isipokuwa akijiuma yeye mwenyewe ndio anaweza kufa. Wanasayansi walieleza japo uchunguzi bado unaendelea, na waliongeza kuwa nyoka huyo anapatikana kwenye simu za Nokia za tochi pekee katika sehemu ya Game inayoitwa Snake Xenzia.
Ha ha haaaaa. Asante kwa umakini mkubwa katika usomaji wako kwenye chapisho hili. Hiki ni kichekesho tu, tunakutakia mchana mwema.
Vichekesho na Chemsha bongo zaidi...
Tukio lililoweza kusababisha ugomvi!
Tuchukulie imekutokea wewe, utachukua uamuzi gani?
Je, wewe Ungerudisha Au Ungemalizia?
Vituko vya wanafunzi mashuleni!
Mwanafunzi huyu anachekesha kwa vituko vyake!
Dogo janja atibua mipango ya michepuko!
Binti amjaza hasira mama yake!
Nani atagundua hiyo rangi moja?
Chambo ya nini kwa samaki aliyevuliwa?
Kati ya mke na mume nani muongo zaidi?
No comments:
Post a Comment