We Like Sharing

Sunday, January 22, 2017

Mume mlevi - vichekesho

Mume mlevi - vichekesho

Mume mlevi

Kuna jamaa mmoja mlevi sugu siku moja baada ya kufika nyumbani akitokea baa akiwa amelewa chakali, alibanwa na haja ndogo akaamua kwenda chooni. Aliporudi alianza mazungumzo na mkewe kama ifuatavyo:

Mume: Mke wangu kumbe siku hizi mlango wa chooni ni ‘automatic’?
Mke: Kwanini mume wangu?
Mume: Nimeufungua tu taa zikawaka na baada ya kumaliza kukojoa nikaufunga taa zikazima
Mke: Pumbavu umekojoa kwenye friji

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment