We Like Sharing

Monday, January 23, 2017

Ukimuona mtu anauza Nyumba - vichekesho

Ukimuona mtu anauza Nyumba - vichekesho

Ukimuona mtu anauza Nyumba - vichekesho

Oyah, ukimuona mtu ana anauza Nyumba katikati ya mji, iwe nzuri, iwe na sehemu ya kuegeshea gari, iwe na bustani mzuri, iwe na vyumba vingi vizuri, iwe na taizi, iwe na kumbi kubwa na ikiwezekana iwe ya ghorofa.

Ukimuona naomba basi we mwache tu auze nyumba yake, maana mimi sina hata senti..

Akili zangu nazijua mwenyewe.

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment