Miss Rwanda 2016, Jolly Mutesi
Kigali, RwandaMrembo mwenye mvuto wa hali ya juu, Jolly Mutesi, mwenye umri wa miaka 19, alivikwa taji la Miss Rwanda mwanzoni mwa mwaka huu (2016).
Mutesi alichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Miss Rwanda 2015, Doriane Kundwa, na pia alikabidhiwa gari lenye thamani ya Rwf15 ambayo ni sawa na pesa taslim ya kitanzania Tsh.40,071,499/=
Sambamba na gari hilo aina ya Suzuki, mrembo huyo anatakiwa kupokea Rwf800,000 (Tsh.2,137,146.63) kila mwezi.
Angalia picha hizo hapo chini za matukio mbalimbali yaliyofanyika siku ya kuvikwa taji la Urembo, Jolly Mutesi.
Zinazosomwa zaidi
Ziara ya RC Paul Makonda jijini Dar yaibua makubwa
Habari nyingine zaidi...
Rais Dkt John P Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
Rais Magufuli afanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi za mashirika ya hifadhi za jamii
Paul Makonda aanza ziara ya siku 10 ndani ya jiji la Dar Es Salaam
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRA
Moto wateketeza nyumba na mali Unguja, Zanzibar
Taarifa aliyoitoa Moses Joseph Machali kuhusu kuhamia Chama Cha Mapinduzi
Moses Joseph Machali ahamia rasmi Chama cha Mapinduzi
Dr. Hamis Kigwangalla akamata shehena kubwa ya viroba vya konyagi na pombe haramu
Maofisa wa mbunge, wataalam wa maji na wenyeviti wa mitaa mjini Nzega wafanya kikao
Sikiliza ngoma kali za Mangwea
Trump azidi kutoa kali za mwaka, akataa mshahara mkubwa
Rais John Pombe Magufuli asaini sheria ya huduma za habari 2016
Paul Makonda aanza ziara ya siku 10 ndani ya jiji la Dar Es Salaam
November 19, 2016
Rais Magufuli afanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi za mashirika ya hifadhi za jamii
November 19, 2016
Dr. Shein azindua wodi ya watoto na wazazi
November 19, 2016
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRA
November 20, 2016
No comments:
Post a Comment