We Like Sharing

Monday, January 4, 2016

Ratiba rasmi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016

Ratiba rasmi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016

Ratiba rasmi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016

Asante sana kwa kutembelea ukurasa huu. Ifuatayo ni ratiba ya michuano ya kombe la mapinduzi inayofanyika mjini unguja katika uwanja wa Amaan:

Kundi A: Simba Jamhuri, JKU & URA
Kundi B: Yanga, Mafunzo, Azam & Mtibwa.

Mechi zote zitachezwa katika uwanja wa Amaan uliopo mjini Unguja, Zanzibar.

SIKU TAR KD NA MECHI MUDA
JMOS 2/1/2016 A 1 JKU V/S URA SAA 10:30 JIONI
A 2 SIMBA V/S JAMHURI SAA 2:15 USIKU
JPILI 3/1/2016 B 3 YANGA V/S MAFUNZO SAA 10:30 JIONI
B 4 MTIBWA V/S AZAM SAA 2:15 USIKU
JTATU 4/1/2016 A 5 JAMHURI V/S JKU SAA 10:30 JIONI
A 6 URA V/S SIMBA SAA 2:15 USIKU
JNNE 5/1/2016 B 7 MAFUNZO V/S MTIBWA SAA 10:30 JIONI
B 8 AZAM V/S YANGA SAA 2:15 USIKU
JTANO 6/1/2016 A 9 JAMHURI V/S URA SAA 10:30 JIONI
A 10 SIMBA V/S JKU SAA 2:15 USIKU
A'MISI 7/1/2016 B 11 AZAM V/S MAFUNZO SAA 10:30 JIONI
B 12 MTIBWA V/S YANGA SAA 2:15 USIKU
NUSU FAINALI
JMOSI 9/1/2016 SF1 MSHINDI A V/S WA PILI B SAA 2:15 USIKU
JPILI 10/1/2016 SF2 MSHINDI B V/S WA PILI A SAA 2:15 USIKU
JTANO 13/1/2016 FAINALI SAA 2:15 USIKU

©2016. Nzegamedia! Designed by Chris Kabeya De Pro

No comments:

Post a Comment